Tanzania Nzima, Saa 24 kwa Siku
Pata Fundi wa Gari Haraka Popote Ulipo
GariFix inakuunganisha na mafundi waliothibitishwa waliopo karibu nawe ili upate huduma za haraka, salama na za kuaminika - popote ulipo Tanzania, muda wowote wa mchana au usiku.
Uko safarini na gari limekwama njiani? Usijali - GariFix inakutafutia na kukuunganisha na fundi aliyeko KARIBU na eneo ulilopo. - msaada hauko mbali kamwe.